Skip to main content
Skip to main content

Koome alaumu visa vya utekaji nyara, LSK yaandamana kudai kuachiliwa kwa Abshir

  • | Citizen TV
    653 views
    Duration: 2:53
    Jaji Mkuu Martha Koome amekashifu utekaji nyara wa Abshir Ahmedsadak Abdi na kutaka wahusika kuchukuliwa hatua. Haya yanajiri huku Chama cha Mawakili nchini (LSK) kikiandaa maandamano kushinikiza kuachiliwa kwa wakili huyo aliyetekwa nyara tarehe moja mwezi huu. Na kama anavyoarifu Gatete Njoroge, mawakili waliandamana hadi katika ofisi ya Inspekta Jenerali wa Polisi, Douglas Kanja, wakishinikiza kukomeshwa kwa visa vya utekaji nyara.