Kampeni ya uhamasisho ya halmashauri ya ukusanyaji ushuru nchini, KRA iliingia katika siku yake ya pili leo huku walipa ushuru wakipongeza mpango mpya wa kujihudumia ambao umerahisisha uwasilishaji ripoti za ushuru. Wale waliohudhuria msafara huo wa barabarani katika maeneo ya Kiambu, walisema kuwa mpango huo wa kujihudumia umepunguza saa nyingi na gharama ya juu iliyohusishwa awali na kuwasilisha ripoti za ushuru.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive