- 392 viewsDuration: 1:59Idara ya Kilimo ya Serikali ya Kaunti ya Murang'a kwa kushirikiana na mashirika yasiyo ya kiserikali, imeanzisha mafunzo kwa wakulima kuhusu hatari za kutumia viuatilifu vya kemikali na mbolea ya viwandani, ambayo huharibu udongo na kuchafua mazao yanayolimwa humo na kuwa hatari kwa afya ya binadamu.