Skip to main content
Skip to main content

Kutekwa kwa Alex Kiprotich kwaibua ghadhabu

  • | Citizen TV
    4,073 views
    Duration: 4:20
    Kutekwa nyara kwa mhariri wa Standard Group Alex Kiprotich kumeibua hisia na ghadhabu kutoka kwa vyama vya wanahabari na hata mashirika ya kutetea haki. Chama cha wamiliki wa vyombo vya habari, chama cha wahariri na hata baraza la wanahabari nchini wote wamekemea kutekwa nyara kwa mwanahabari huyo. Wote sasa wakitaka uchunguzi wa kina na uwajibikaji wa serikali kuhusu kulinda uhuru wa wanahabari nchini