Skip to main content
Skip to main content

Kutokubaliana kuhusu siku ya safari kabla ya ajali ya Mtito Andei iliyoua watu 24

  • | Citizen TV
    5,250 views
    Duration: 2:39
    Waathiriwa wa ajali iliyotokea eneo la Mtito Andei Jumapili asubuhi wanasema kulikuwa na kutokubaliana kuhusu siku ya kusafiri kabla ya ajali hiyo iliyokatiza maisha ya watu 24. Baadhi yao walitaka kupumzika ili wasafiri Jumapili mchana, huku wengine wakishinikiza safari ifanyike usiku huo. Michael Mutinda anaripoti.