16 Sep 2026 2:15 pm | Citizen TV 24 views Serikali ya kaunti ya kwale imepokezwa vifaa vya matibabu vya thamani ya shilingi milioni 25 kutoka kwa shirika la LVCT Health kupitia mpango wa USAID Stawisha Pwani .