- 18,735 viewsDuration: 1:33Muandaaji mkongwe wa muziki wa Bongo fleva nchini Tanzania P funk anaielezea BBC jina Bongo Fleva liltokana na nini? Kwa sasa P funk ameachana na uandaaji wa muziki na amejikita kwenye kilimo na uandaaji wa makala za utalii na filamu. Mwandishi wa BBC @eagansalla_gifted_sounds alimtembelea jijini Arusha na hIi hapa ni taarifa yake. Video hii kwa urefu inapatika katika ukurasa huu huu wa Youtube wa BBCSwahili Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw