- 18,647 viewsDuration: 1:23Mwanaume mmoja aliyekamatwa akisafirisha siafu 2,000 kinyume cha sheria wakiwa hai kutoka Nairobi kwenda China amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela Siafu hao walikuwa wamefichwa ndani ya mizigo ya Zhang Kequn. Lakini Je kwanini Siafu wamekuwa wakisafirishwa kimagendo? Phillys Mwatee anaelezea Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw