Skip to main content
Skip to main content

Ligi Kuu ya Kenya yaingia raundi ya nne kwa mechi za kesho na Alhamisi

  • | Citizen TV
    690 views
    Duration: 1:26
    Mechi za Ligi Kuu ya Kenya zitaendelea kesho na Alhamisi katika raundi ya nne, huku vilabu vyote 18 vikitarajiwa kushiriki. Jumla ya mechi sita zitachezwa kesho, huku nyingine tatu zikitarajiwa kuandaliwa Alhamisi.