Skip to main content
Skip to main content

Linda Mwananchi waonyesha imani ya ushindi kwenye uchaguzi ujao

  • | Citizen TV
    4,157 views
    Duration: 3:01
    Viongozi wa Linda Mwananchi wameelezea imani yao kuwa upinzani utafaulu kutwaa uongozi kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Viongozi hao waliokuwa wakiendeleza kampeni za kutafuta uungwaji mkono huko Kisumu na Bungoma wanasema watamuunga mkono yeyote atakayeafikiwa kupeperusha bendera ya urais ya muungano wa upinzani.