6 Nov 2026 1:08 pm | Citizen TV 6,580 views Duration: 1:28 Mawakili wakiongozwa na usimamizi wa chama cha mawakili nchini LSK wameandaa maandamano jijini Nairobi wakitaka asasi za usalama kumwachilia wakili abshir ahmedsadak abdi aliyetekwa nyara tarehe moja mwezi huu.