Skip to main content
Skip to main content

Maafisa tabibu wa kaunti ya Taita Taveta warudi kazini

  • | Citizen TV
    600 views
    Duration: 1:42
    Mgomo wa maafisa tabibu kaunti ya Taita Taveta ambao umedumu kwa siku 42 hatimaye umesitishwa baada ya mazungumzo baina ya serikali na maafisa hao kupata mwafaka. Wakizungumza huko Mwatate maafisa hao tabibu wanasema masuala tata ambayo yalichochea mgomo huo likiwemo suala la kupandishwa vyeo pamoja na kucheleweshwa kwa mishahara yametatuliwa.