Skip to main content
Skip to main content

Maafisa wa chama cha afya ya umma waishinikiza serikali kumaliza mgomo wa wahudumu wa afya nchini

  • | Citizen TV
    258 views
    Duration: 1:35
    Maafisa wa chama cha afya ya umma wanaishinikiza serikali kumaliza mgomo wa wahudumu wa afya kote nchini ili warudi kazini na wawe tarayi kukabiliana na hali za dharura za ebola. wakizungumz ana wanahabari hapa nairobi, pia viongozi wa chama hicho wanataka mafunzo maalum kwa wahudumu wa afya kuhusu ebola.