4 Nov 2026 10:08 am | Citizen TV 826 views Duration: 1:43 Muungano wa Maafisa wa kliniki KUCO katika kaunti ya Uasin Gishu,umetangaza kuwa mgomo wao ungalipo licha ya kutia saini mkataba wa makubaliano na serikali ya kaunti hiyo