5 Sep 2025 10:33 am | Citizen TV 200 views Duration: 58s Maafisa wa NACADA wanasa bangi na pombe haramu Kakamega nchini. NACADA wamewakamata washukiwa kumi wanaokisiwa kuuza dawa za kulevya eneo la Shinyalu na Ikolomani kaunti ya Kakamega.