Skip to main content
Skip to main content

Maambukizi ya HIV yaongezeka kwa 1.5% Narok

  • | Citizen TV
    853 views
    Duration: 2:43
    Kiwango cha maambukizi ya HIV katika Kaunti ya Narok kimeongezeka kwa asilimia 1.5. Waziri Chepkwony amesema idadi kubwa ya vijana wanaendelea kuambukizwa virusi vya HIV katika kaunti hiyo.