- 6,041 viewsDuration: 2:11Maandamano yaliyopangwa kufanyika katika bustani ya Mkununi Kisiani Amu ya kupinga shughuli ya ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha dangote yalisitishwa kwa muda baada ya maafisa wa polisi kutumia vitoa machozi kuwatawanya wandamanaji.