Skip to main content
Skip to main content

Mabadiliko ya tabianchi Nyeri

  • | Citizen TV
    454 views
    Duration: 2:06
    Vijana kutoka kaunti 10 za eneo la Mlima Kenya wamewataka viongozi kuwashirikisha zaidi katika maamuzi kuhusu mabadiliko ya tabianchi. Wakizungumza katika mkutano wa vijana wa masuala ya tabianchi katika kaunti ya Nyeri, wamesema maoni yao yanapaswa kuzingatiwa katika kutunga sera za kukabiliana na athari za tabianchi.