- 669 viewsDuration: 2:22Kama njia mojawapo ya kupiga vita mimba za utotoni miongoni mwa wanafunzi wa kike katika mpaka wa Kenya na Tanzania, wazazi na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Kanunka wamepata afueni baada ya ujenzi wa mabweni mawili ya kisasa yenye thamani ya takriban shilingi milioni 30.