Skip to main content
Skip to main content

Mackenzie ahukumiwa kifungo cha miaka 200 kwa mauaji ya Shakahola

  • | Citizen TV
    20,348 views
    Duration: 2:53
    Mhubiri tata Paul Mackenzie amehukumiwa kifungo cha miaka 200 gerezani baada ya kupatikana na hatia ya mauaji ya halaiki katika msitu wa Shakahola. Jaji Diana Kavedza Mochache amemhukumu Mackenzie kifungo cha miaka 100 kwa makosa ya kuwaua watu kwa kuwalazimisha kufunga, na miaka mingine 100 kwa mauaji ya moja kwa moja. Washukiwa wengine 28 wamehukumiwa vifungo tofauti, huku Jaji Mochache akisema hukumu hii ni funzo kwa wale wanaotumia dini kuwapotosha wafuasi wao. Francis Mtalaki na kina cha taarifa hiyo.