- 6,293 viewsDuration: 3:17Mambo bado kwa mhukumiwa wa mauaji ya halaiki Paul Mackenzie. Ofisi ya mashtaka ya umma inanoa makali kwa kesi zingine sita zinazomkabili mhubiri huyo tata aliyekuhukiwa miaka 200 jela. Mackenzie na washirika wake wanasubiri hukumu katika mahakama mbalimbali kuhusiana na visa vya mauaji ya kwa binzaro, ukatili dhidi ya watoto, ugaidi na kuua bila kukusudia. Brenda wanga anaangazia msururu wa kesi na huku zinazowakodolea macho mackenzie na wenzake.