- 28,571 viewsDuration: 4:15Mahakama ya mombasa inatoa hukumu ya kesi ya mauwaji inayomkabili mhubiri tata Paul Mackenzie na washukiwa wengine 28. Hii ni baada ya Jaji Diana Kavedza mochache kumpata MacKenzie na wenzake na hatia ya mauwaji ya watu 191 katika msitu wa shakahola.