hama cha madaktari na wataalamu wa meno – KMPDU, kimeanzisha shinikizo za nyongeza ya mishahara ya asilimia 55 kwenye mkataba wa makubaliano wa mwaka 2025-2029, kikitishia kuwa watagoma ikiwa matakwa yao hayatashughulikiwa katika muda wa siku 90. Akiongea wakati wa mkutano wa wajumbe wa kila mwaka jijini Nairobi, Katibu mkuu wa chama hicho cha KMPDU Dr. Davji Atellah, pia alitaka serikali kulipa madeni yaliosalia katika wizara ya afya, kuwaajiri madaktari zaidi na kuboresha bima ya matibabu kwa wafanyakazi nchini. Mwanahabari wetu Joseph Wakhungu ana maelezo zaidi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive