Skip to main content
Skip to main content

Madereva wa kampuni ya X Move Mombasa wasitisha huduma

  • | Citizen TV
    1,860 views
    Duration: 2:09
    Wamiliki na madereva wa kampuni ya X Move Mombasa wametangaza kusitisha huduma za usafiri kufuatia vitisho vya usalama kutoka kwa baadhi ya madereva wa matatu katika eneo la bamburi mwisho.