Skip to main content
Skip to main content

Maelfu Narok waaga mbunge wa zamani Gideon Konchellah

  • | Citizen TV
    1,332 views
    Duration: 3:07
    Maelfu ya wenyeji wa kaunti ya Narok wameungana na viongozi wa kitaifa pamoja na jamaa na marafiki wa Mbunge wa zamani wa Kilgoris Gideon Konchellah katika hafla ya mazishi iliyofanyika kumuaga kiongozi huyo wa zamani. Wakizungumza katika hafla hiyo, viongozi mbalimbali wamesifu mchango wake katika kuimarisha umoja wa jamii mbalimbali katika eneo la Transmara. Waombolezaji wameeleza kuwa kumbukizi za Konchellah zinapaswa kuwa chachu ya kuendeleza amani na utangamano, kama alivyopenda marehemu wakati wa uhai wake. Chrispine Otieno alikuwepo na hii hapa taarifa yake kutoka Kilgoris.