- 1,381 viewsDuration: 2:31Magavana sasa wamekubaliana kuwa hawatakubali kujumuishwa kwenye mfumo wa kidijitali wa kutoa kandarasi za serikali. Katika kikao maalum hii leo, magavana wanaishutumu serikali ya kitaifa kwa kuingilia utendakazi wa kaunti.