- 927 viewsDuration: 2:17Maafisa wa Mahakama Kuu ya Malindi wanatarajiwa kuzuru maeneo mbalimbali yaliyotajwa kwenye uchunguzi wa mauaji katika msitu wa Shakahola na Kwa Binzaro. Mahakama inatarajiwa kufika maeneo ambayo waumini wa mhubiri tata Paul Mackenzie wanadaiwa kufanyiwa ushawishi wa kidini uliosababisha vifo