Skip to main content
Skip to main content

Mahakama Kuu yatupilia mbali agizo la Ruto kuhusu nyumba za bei nafuu kwa walimu na polisi

  • | Citizen TV
    17,232 views
    Duration: 2:31
    Mahakama Kuu imetupilia mbali agizo la Rais William Ruto la kutenga asilimia 20 ya nyumba zote za bei nafuu kwa walimu na maafisa wa polisi. Jaji Patricia Nyaundi amesema hatua hiyo ya rais haina msingi wa kisheria na inakiuka katiba kwa kuwabagua Wakenya wengine wanaolipa ushuru.