2 Nov 2026 10:28 am | Citizen TV 702 views Duration: 1:53 Mahakama mjini Machakos imewataka Wakenya kuzingatia kutumia Mfumo Mbadala wa kutafuta Haki ili kutatua kesi nyingi nje ya mahakama na kupunguza mirundiko ya kesi hizo kortini.