Skip to main content
Skip to main content

Mahakama na polisi zalaumiana kuhusu magenge ya vijana

  • | Citizen TV
    6,611 views
    Duration: 2:58
    Idara ya mahakama na ile ya polisi zimeonekana kulaumiana kuhusu kukabiliana na magenge ya vijana yanayozua hofu, hasa kwenye mikutano ya kisiasa. Huku Jaji Mkuu Martha Koome akionekana kurusha lawama kwa idara ya polisi kwa kutowachukulia hatua wafadhili, idara ya polisi nayo imesema idara hiyo haitoi mwongozo thabiti kwenye maamuzi yake. Chrispine Otieno na mengi zaidi.