9 Nov 2026 1:18 pm | Citizen TV 606 views Duration: 1:52 Huku mwezi wa huduma kwa watoto ikiendelea kote nchini, mahakama ya Hola kaunti ya Tana River itaendelea kuchukua hatua kali za kisheria kwa washukiwa watakaotuhumiwa kuhusika na dhulma dhidi za watoto.