Skip to main content
Skip to main content

Mahakama ya Mombasa yamhukumu Paul Mackenzie na washukiwa 28 kwa mauaji ya Shakahola

  • | Citizen TV
    47,498 views
    Duration: 6:07
    Mahakama ya mombasa inatoa hukumu ya kesi ya mauwaji inayomkabili mhubiri tata Paul Mackenzie na washukiwa wengine 28. Hii ni baada ya Jaji Diana Kavedza mochache kumpata MacKenzie na wenzake na hatia ya mauwaji ya watu 191 katika msitu wa shakahola.