Skip to main content
Skip to main content

Mahakama yaidhinisha afisa wa polisi Kenneth Sang kuzuiliwa kwa siku 14 kuhusu mauaji ya watu wawili

  • | Citizen TV
    1,777 views
    Duration: 48s
    Mahakama imeidhinisha ombi la Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai, DCI, la kumzuilia afisa wa polisi Kenneth Kipkeboi Sang kwa siku 14 ili kukamilisha uchunguzi kuhusu mauaji ya Dkt Victoria Nthunya Mutiso na wakili Matthew Kyalo Mbobu.