- 29,266 viewsDuration: 2:40Mahakama kuu imekizuia chama cha Liberty National Democratic Alliance Party (LINDA), kuendelea kutumia au kusajili maandishi ya 'LINDA MWANANCHI'. Wakati huo huo, mrengo wa LINDA MWananchi unaoongozwa na seneta wa Nairobi Edwin Sifuna vile vile umezuiliwa kutumia au kusajili maandishi ya LINDA, hadi pale kesi hiyo itaamuliwa. Na kama Seth Olale anavyotueleza, haya yanajiri huku pande zote zikishikilia utambulisho na nembo ya LINDA kwenye vyama na mirengo yao mvutano linda