- 6,616 viewsDuration: 3:01Uchunguzi wa hivi punde kuhusiana na mporomoko wa jumba la ghorofa 18 katika mtaa wa Eastleigh umebaini kuwa huenda ujenzi uliendelea bila mhandisi kuhakikisha unaendelea inavyofaa. Hii ni baada ya mhandisi aliyetajwa na mamlaka ya kudhibiti ujenzi (NCA) kuwaeleza wapelelezi kuwa alijiiondoa kwenye mradi huo miaka miwili iliyopita. Gatete njoroge alirejea katika eneo hilo na kuzungumza na wafanyibiashara ambao wanarejelea shughuli zao siku 16 baadaye.