29 Sep 2026 10:10 am | Citizen TV 4,891 views Duration: 2:19 Maiti ya mwanamume mmoja kwa jina Samuel Maitha aliyezama katika Mto Athi huko Oldonyo Kaunti Ndogo ya Sabuk Matungulu hatimaye imepatikana na wapiga mbizi kutoka Kaunti ya Kiambu.