- 16,756 viewsDuration: 27sWatu watatu wamejeruhiwa baada ya bomu kurushwa karibu nao huko Tel Aviv, hii ni kwa mujibu wa polisi wa Israel Makombora ya Iran yameua watu 12 nchini Israel tangu vita vilipoanza, siku 15 zilizopita, kwa mujibu wa shirika la habari la Associated Press. Tazama athari zilizotokea. #bbcswahili #foryou #fyp Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw