Skip to main content
Skip to main content

Makovu ya ajali: Watu 4 wa familia moja wazikwa Kinango,Kwale

  • | Citizen TV
    3,218 views
    Duration: 2:06
    Watu wanne wa familia moja waliofariki kwenye ajali iliyotokea katika eneo la Kanga kaunti ya Makueni wamezikwa nyumbani kwao huko Kinango, kaunti ya Kwale.