Skip to main content
Skip to main content

Makovu ya Hillside Endarasha

  • | Citizen TV
    1,146 views
    Duration: 3:22
    Familia 21 zilizowapoteza wana wao kwenye mkasa wa moto katika bweni la wavulana shuleni Hillside Endarasha mwaka jana bado zinadai majibu kuhusu chanzo cha moto huo. Familia hizo zinasema kukosa taarifa kuhusiana na yaliyojiri ndio kikwazo kikubwa kwa wao kupiga hatua za kutuliza nyoyo zao.