Skip to main content
Skip to main content

Mama na watoto watano waokolewa kutoka pangoni Mwatate

  • | Citizen TV
    21,178 views
    Duration: 2:44
    Ni afueni kwa mama mmoja huko Mwatate kaunti ya Taita Taveta baada ya jamii na viongozi eneo hilo kumnusuru kutoka ndani ya pango alilokua akiishi na watoto wake watano kwa zaidi ya miezi mitatu. Hii ni baada ya jamaa zake kumfurusha kutoka kipande cha ardhi alimokuwa akiishi .