- 9,250 viewsDuration: 1:25Muna Ali Dahir, mama wa watoto wanane, ni afisa katika Vikosi vya Ulinzi vya Puntland. Kwa zaidi ya mwaka mmoja amekuwa akipigana na wanamgambo wanaohusishwa na kundi la Islamic State. Kila asubuhi, kabla ya kurudi tena mstari wa mbele, huwapigia simu watoto wake ili kuwajulisha kwamba yuko salama. Africa Eye imefuatilia vikosi vya Puntland vilivyo mstari wa mbele katika mashariki ya mbali ya Somalia. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw