Skip to main content
Skip to main content

Mama yake Regina Re alifariki kwa kuvuja damu nyingi

  • | Citizen TV
    10,580 views
    Duration: 2:47
    Matokeo ya upasuaji wa mwili wa mamake mwigizaji Regina Re Macharia yameonyesha kuwa alifariki kwa kuvuja damu nyingi baada ya kudungwa mara kadhaa shingoni na hata kwenye uso. Mp asuaji wa serikali Daktari Bernard Midia pia akisema upasuaji huo umeonyesha kuwa Dorita Macharia alikuwa na majeraha mengine kwenye mwili yanayoaminika kupata Ijumaa usiku alipouawa. Regina Re, bintiye na kakake wanazuiliwa kwa mauaji hayo. Gatete Njoroge na mengi zaidi.