1,560 views
Duration: 2:11
Kuanzia virutubisho vya unga hadi vidonge, virutubisho viko kila mahali.
-
Vinauzwa kama suluhu za haraka za changamoto za afya, zikisaidia mambo mbalimbali ya afya.
-
Ingawa hutumikia kusudi kwa ajili ya hali fulani lakini mara nyingi haielekezwi. Na watu wengi hawajui hatari wala mapungufu, yalivyo nyuma ya chapa ya bidhaa hizo.
-
@elizabethikazibure anaelezea Mambo 5 unayopaswa kufahamu kuhusu virutubisho kabla ya kuvitumia
-
-
-
#bbcswahili #afya #virutubisho #omega3
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw