Skip to main content
Skip to main content

Mamia wafurika kwenye shindano la upishi la Musyi FM Matuu

  • | Citizen TV
    382 views
    Duration: 1:36
    Mamia ya wasikilizaji wa kituo cha redio cha Musyi FM walifurika katika Mji wa Matuu, Kaunti ya Machakos, eneo bunge la Yatta, ambapo kituo hicho kinachomilikiwa na kampuni ya Royal Media Services kilishirikiana na Joy Millers, watengenezaji wa unga bora wa Kavagara, kuandaa shindano la upishi.