- 5,703 viewsDuration: 2:04Je unalikumbuka goli la mkono wa ‘mungu’? lilifongwa na Diego Armando Maradona? - The Hand of God! Moja ya matukio yenye utata zaidi katika katika historia ya soka ya kombe la Dunia. - @_phillys anatudadavulia kwa kina - Kutazama taarifa hii kwa urefu zaidi tembelea YouTube ya BBCSwahili - 🎥: @brianmala - - #bbcswahili #soka #kandanda #maradona #golilamkono #TheHandOfGod Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw