- 6,180 viewsDuration: 3:09Naibu rais wa shirikisho la soka nchini MCDONALD MARIGA na maafisa wengine sita wa baraza kuu la shirikisho hilo wametimuliwa afisini. Hii ni kufuata mkutano maalum wa FKF ulifanyika huko Meru. Mkutano huo ukikumbwa na ghasia huku vuta nikuvute na vitoa machozi vikitawala kabla ya uamuzi kuafikiwa. Luqman Mahmoud amerejea kutoka meru na kuandaa taarifa hiyo.