Skip to main content
Skip to main content

Martha Karua akashifu kutekwa kwa mwanaharakati Twaha Mwaipaya, aahidi msaada wa kisheria

  • | Citizen TV
    11,611 views
    Duration: 1:06
    Kiongozi wa chama cha People's Liberation Party ( PLP) Martha Karua amekashifu utakaji nyara wa mwanaharakati wa Tanzania Twaha Mwaipaya, akiahidi kumuunga mkono katika kufuatilia suala hilo mahakamani leo. Karua alikuwa akizungumza katika Siku ya Waandishi katika Chuo Kikuu cha Aga Khan, Nairobi, ambapo alizungumzia safari yake ya kisiasa iliyoelezwa katika kitabu chake "Against the Tide"