Skip to main content
Skip to main content

Mashahidi waeleza hofu za Tob Cohen kabla ya kuuawa

  • | Citizen TV
    5,149 views
    Duration: 2:56
    Mashahidi katika kesi ya mauaji ya mfanyibiashara Tob Cohen wameendelea kueleza mahakamani jinsi alivyoanza kuhofia maisha yake miezi kadhaa kabla ya kuuawa kwake Julai mwaka wa 2019. Mbunge wa zamani Patrick Muiruri aliiambia mahakama kuwa kutoweka kwa Cohen kulizua hofu miongoni mwa wandani wake, ambao tayari alikuwa amewaeleza kuhusu misukosuko ya ndoa yake na mkewe Sarah Wairimu. Ben Kirui anarifu yaliyojiri katika Mahakama ya Kibra leo.