Skip to main content
Skip to main content

Mashahidi waendelea kutoa ushahidi kwenye kesi ya mvuvi aliyepotea Nakuru

  • | Citizen TV
    1,588 views
    Duration: 2:58
    Kesi ya kupotea kwa mvuvi Brian Odhiambo huko Nakuru imeendelea huku mshukiwa wa pili kati ya sita kutoka shirika la huduma kwa wanyama pori wanaokabiliwa na mashtaka akieleza mahakama anayoyajua. Isaack Ochieng alikumbwa na kibarua kigumu kueleza bayana iwapo mshukiwa waliyemkamata alikuwa ni Brian au la.