- 409 viewsDuration: 2:28Mashirika ya haki sasa yanaitaka idara ya polisi kukomesha makundi ya wahuni yanayoendelea kutishia amani na usalama nchini. Mashirika haya mjini Mombasa yanasema, uvamizi wa kanisani All Saints unaibua hofu zaidi, miezi 14 kabla ya uchaguzi mkuu.